2 Samweli 2:22 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 22 Kwa hiyo Abneri akamwambia tena Asaheli: “Geuza mwendo wako, acha kunifuatilia. Kwa nini nikupige ufe na kuanguka chini?+ Hapo, basi, ningewezaje kuinua uso wangu kumwelekea Yoabu ndugu yako?”
22 Kwa hiyo Abneri akamwambia tena Asaheli: “Geuza mwendo wako, acha kunifuatilia. Kwa nini nikupige ufe na kuanguka chini?+ Hapo, basi, ningewezaje kuinua uso wangu kumwelekea Yoabu ndugu yako?”