Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 10:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Basi malkia wa Sheba alisikia habari za Sulemani kuhusiana na jina la Yehova,+ kwa hiyo akaja kumjaribu kwa maswali magumu.*+

  • 1 Wafalme 10:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Lakini sikuamini habari hizo mpaka nilipokuja na kujionea kwa macho yangu mwenyewe. Na kwa kweli sikuwa nimeambiwa hata nusu yake. Hekima yako na ufanisi wako umezidi kwa mbali habari nilizosikia.

  • Luka 11:31
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 31 Malkia wa kusini+ atasimamishwa katika hukumu pamoja na watu wa kizazi hiki naye atakihukumu kwa sababu alikuja kutoka miisho ya dunia ili asikie hekima ya Sulemani. Lakini tazama! hapa pana mtu mkuu kuliko Sulemani.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki