Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Mambo ya Nyakati 9:1, 2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Basi malkia wa Sheba+ alisikia habari za Sulemani, kwa hiyo akaja Yerusalemu kumjaribu kwa maswali magumu.* Alikuja na msafara wenye kuvutia sana, pamoja na ngamia waliobeba mafuta ya zeri na dhahabu nyingi sana+ na mawe yenye thamani. Akafika mbele ya Sulemani na kumwambia mambo yote yaliyokuwa moyoni mwake.+ 2 Kisha Sulemani akajibu maswali yake yote. Hakuna jambo lolote lililokuwa gumu sana* kwa Sulemani asiweze kumweleza.

  • Mathayo 12:42
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 42 Malkia wa kusini atasimamishwa katika hukumu pamoja na kizazi hiki naye atakihukumu, kwa sababu alikuja kutoka miisho ya dunia ili asikie hekima ya Sulemani.+ Lakini tazama! hapa pana mtu mkuu kuliko Sulemani.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki