-
Mathayo 12:42Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
42 Malkia wa kusini atainuliwa katika hukumu pamoja na kizazi hiki naye atakilaumu; kwa sababu alikuja kutoka miisho ya dunia kuisikia hekima ya Solomoni, lakini, tazama! kitu fulani zaidi ya Solomoni kipo hapa.
-