Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 7:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Alitengeneza nguzo mbili kwa kutumia shaba iliyoyeyushwa;+ kila nguzo ilikuwa na urefu wa mikono 18, na kila moja ya nguzo hizo mbili ingeweza kuzungukwa kwa kamba yenye urefu wa mikono 12.*+

  • 1 Wafalme 7:46
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 46 Mfalme alivitengeneza katika kalibu za udongo wa mfinyanzi katika wilaya ya Yordani, kati ya Sukothi na Sarethani.

  • 2 Mambo ya Nyakati 4:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Na chini yake kulikuwa na mapambo ya vibuyu,+ ambayo yalizunguka ukingo wote, vibuyu kumi kwa kila mkono mmoja kuzunguka Bahari yote. Vibuyu hivyo vilikuwa katika safu mbili, navyo vilitengenezwa kwa kuyeyushwa vikiwa sehemu ya Bahari hiyo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki