13 Na dhahabu iliyoletwa kwa Sulemani katika mwaka mmoja ilikuwa na uzito wa talanta 666 za dhahabu,+14 mbali na dhahabu iliyoletwa na wafanyabiashara wasafiri na wauzaji wa bidhaa na wafalme wote wa Uarabuni na magavana wa nchi waliokuwa wakimletea Sulemani dhahabu na fedha.+