Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 49:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Yuda ni mwanasimba.+ Mwanangu, kwa hakika utapanda juu kutoka mawindoni. Amejikunyata chini na kujinyoosha kama simba, na kama simba, ni nani anayethubutu kumwamsha?

  • Hesabu 23:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Watu hawa watainuka kama simba,

      Na kama simba, watajiinua.+

      Hawatalala chini mpaka wale mawindo

      Na kunywa damu ya waliouawa.”

  • Hesabu 24:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  9 Amejikunyata, amelala chini kama simba,

      Na kama simba, ni nani anayethubutu kumwamsha?

      Wale wanaokubariki wamebarikiwa,

      Na wale wanaokulaani wamelaaniwa.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki