Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 12:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Mara tu Waisraeli wote waliposikia kwamba Yeroboamu amerudi, wakamwita mbele ya kusanyiko, nao wakamweka kuwa mfalme wa Waisraeli wote.+ Hakuna yeyote aliyeifuata nyumba ya Daudi isipokuwa kabila la Yuda.+

  • 2 Mambo ya Nyakati 10:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Waisraeli wote walipoona kwamba mfalme amekataa kuwasikiliza, wakamwambia hivi mfalme: “Tuna ushirika gani na Daudi? Hatuna urithi wowote katika mwana wa Yese. Kila mtu aende kwa miungu yake, enyi Waisraeli! Sasa itunze nyumba yako mwenyewe, Ee Daudi.”+ Ndipo Waisraeli wote wakarudi katika nyumba zao.*+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki