Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 24:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Kwa hiyo yule aliyelitukana jina la Yehova lazima auawe.+ Kwa hakika kusanyiko lote linapaswa kumpiga mawe. Mgeni anapaswa kuuawa sawasawa na mwenyeji kwa sababu ya kulitukana lile Jina.

  • Yohana 10:33
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 33 Wayahudi wakamjibu: “Tunakupiga mawe, si kwa sababu ya kazi njema, bali umekufuru;+ kwa maana ingawa wewe ni mwanadamu, unajifanya mungu.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki