22 Mfalme alikuwa na kundi la meli za Tarshishi+ baharini pamoja na kundi la meli za Hiramu. Mara moja baada ya kila miaka mitatu, kundi la meli za Tarshishi zilikuja zikiwa zimejazwa dhahabu na fedha, pembe za tembo,+ sokwe, na tausi.
15 Watu wa Dedani+ walifanya nawe biashara; uliwaajiri wafanyabiashara kwenye visiwa vingi; walitoa pembe za tembo+ na mbao za mpingo kama ushuru wako.