1 Wafalme 10:22 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 22 Kwa maana mfalme alikuwa na kundi la meli za Tarshishi+ baharini pamoja na kundi la meli za Hiramu. Mara moja kila miaka mitatu kundi la meli za Tarshishi zilikuja zikiwa zimebeba dhahabu+ na fedha, pembe za tembo,+ na sokwe na tausi. 1 Wafalme Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 10:22 w08 11/1 27 1 Wafalme Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 10:22 Mnara wa Mlinzi,11/1/2008, uku. 27
22 Kwa maana mfalme alikuwa na kundi la meli za Tarshishi+ baharini pamoja na kundi la meli za Hiramu. Mara moja kila miaka mitatu kundi la meli za Tarshishi zilikuja zikiwa zimebeba dhahabu+ na fedha, pembe za tembo,+ na sokwe na tausi.