-
2 Samweli 3:26, 27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 Basi Yoabu akaondoka mbele ya Daudi, akawatuma wajumbe wamfuatie Abneri, wakamkuta kwenye tangi la maji la Sira na kumrudisha; lakini Daudi hakujua lolote kuhusu jambo hilo. 27 Abneri aliporudi Hebroni,+ Yoabu akampeleka pembeni ndani ya lango ili azungumze naye faraghani. Hata hivyo, Yoabu akamchoma kwa upanga tumboni, naye akafa;+ kwa sababu alimuua* Asaheli ndugu yake.+
-