Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 20:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Basi Mfalme Ben-hadadi+ wa Siria+ akakusanya jeshi lake lote pamoja na wafalme wengine 32 wakiwa na farasi wao na magari yao ya vita; akapanda kwenda kuzingira+ jiji la Samaria+ na kupigana nalo.

  • 1 Wafalme 20:34
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 34 Sasa Ben-hadadi akamwambia: “Majiji ambayo baba yangu alichukua kutoka kwa baba yako nitayarudisha, nawe unaweza kujianzishia masoko* Damasko, kama baba yangu alivyofanya Samaria.”

      Ahabu akamwambia, “Kwa msingi wa makubaliano haya,* nitakuruhusu uende.”

      Basi akafanya makubaliano naye na kumruhusu aende zake.

  • 1 Wafalme 22:31
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 31 Sasa mfalme wa Siria alikuwa amewaagiza hivi makamanda wake 32 wa magari ya vita:+ “Msipigane na yeyote, mdogo au mkubwa, isipokuwa mfalme wa Israeli.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki