Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 8:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Halafu Daudi akaweka kambi za kijeshi kule Siria ya Damasko, na Wasiria wakawa watumishi wa Daudi na kumletea ushuru. Yehova alimpa Daudi ushindi* popote alipoenda.+

  • 2 Wafalme 5:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Pindi moja Wasiria walipovamia Israeli, walimchukua mateka msichana mdogo kutoka katika nchi ya Israeli, akawa kijakazi wa mke wa Naamani.

  • Isaya 9:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Siria kutoka mashariki na Wafilisti kutoka magharibi,*+

      Watamnyafua Israeli kwa vinywa vilivyo wazi.+

      Kwa sababu ya hayo yote, hasira yake haijapoa,

      Lakini mkono wake bado umenyooshwa ili kupiga.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki