Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 5:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Ndiyo sababu hasira ya Yehova inawaka dhidi ya watu wake,

      Naye ataunyoosha mkono wake dhidi yao na kuwapiga.+

      Milima itatetemeka,

      Na maiti zao zitakuwa kama takataka barabarani.+

      Kwa sababu ya hayo yote, hasira yake haijapoa,

      Lakini mkono wake bado umenyooshwa ili kupiga.

  • Isaya 10:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  4 Hakuna kinachobaki isipokuwa kujikunyata kati ya wafungwa

      Au kuanguka kati ya waliouawa.

      Kwa sababu ya hayo yote, hasira yake haijapoa,

      Lakini mkono wake bado umenyooshwa ili kupiga.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki