-
2 Mambo ya Nyakati 24:25, 26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Na walipoondoka katika nchi yake (kwa maana walimwacha akiwa amejeruhiwa vibaya*), watumishi wake mwenyewe walipanga njama dhidi yake kwa sababu alikuwa amemwaga damu ya wana* wa kuhani Yehoyada.+ Walimuua katika kitanda chake mwenyewe.+ Basi akafa na kuzikwa katika Jiji la Daudi,+ lakini hawakumzika katika makaburi ya wafalme.+
26 Hawa ndio waliopanga njama+ dhidi yake: Zabadi mwana wa Shimeathi mwanamke Mwamoni na Yehozabadi mwana wa Shimrithi mwanamke Mmoabu.
-