Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 16:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Wakati huo ndipo Mfalme Resini wa Siria na Peka mwana wa Remalia mfalme wa Israeli walipopanda ili kuja kupigana vita dhidi ya Yerusalemu.+ Wakamzingira Ahazi lakini hawakuweza kuliteka jiji.

  • Isaya 7:1, 2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Sasa katika siku za Ahazi+ mwana wa Yothamu mwana wa Uzia, mfalme wa Yuda, Mfalme Resini wa Siria na Peka+ mwana wa Remalia, mfalme wa Israeli, walipanda ili kuja kupigana vita dhidi ya Yerusalemu, lakini alishindwa* kuliteka.+ 2 Habari ikapelekwa kwa nyumba ya Daudi: “Siria imeungana na Efraimu.”

      Na moyo wa Ahazi na moyo wa watu wake ukaanza kutetemeka, kama miti ya msituni inavyotikiswa na upepo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki