19 Basi akaondoka huko, akamkuta Elisha mwana wa Shafati akilima kwa jozi 12 za ng’ombe dume, naye alikuwa na jozi ya 12. Basi Eliya akamkaribia, akalitupa vazi lake rasmi+ juu yake.
21 Basi akarudi, akachukua jozi moja ya ng’ombe dume na kuwatoa dhabihu, naye akatumia vifaa vya kulimia kuchemsha nyama ya ng’ombe dume hao, kisha akawapa watu, nao wakala. Baada ya hapo akaondoka na kumfuata Eliya na kuanza kumhudumia.+