1 Wafalme 19:19 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 19 Basi akaondoka hapo, akamkuta Elisha mwana wa Shafati akilima+ na jozi kumi na mbili za wanyama mbele yake, naye akiwa na ile ya kumi na mbili. Basi Eliya akavuka mpaka pale alipokuwa, akalitupa vazi lake rasmi+ juu yake. 1 Wafalme Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 19:19 w97 11/1 30-31 1 Wafalme Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 19:19 Ufahamu, uku. 649 Mnara wa Mlinzi,2/1/2014, uku. 1211/1/1997, kur. 30-319/1/1990, uku. 16
19 Basi akaondoka hapo, akamkuta Elisha mwana wa Shafati akilima+ na jozi kumi na mbili za wanyama mbele yake, naye akiwa na ile ya kumi na mbili. Basi Eliya akavuka mpaka pale alipokuwa, akalitupa vazi lake rasmi+ juu yake.