1 Wafalme 19:19 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 19 Basi akaondoka huko, akamkuta Elisha mwana wa Shafati akilima kwa jozi 12 za ng’ombe dume, naye alikuwa na jozi ya 12. Basi Eliya akamkaribia, akalitupa vazi lake rasmi+ juu yake. 1 Wafalme Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 19:19 w97 11/1 30-31 1 Wafalme Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 19:19 Ufahamu, uku. 649 Mnara wa Mlinzi,2/1/2014, uku. 1211/1/1997, kur. 30-319/1/1990, uku. 16
19 Basi akaondoka huko, akamkuta Elisha mwana wa Shafati akilima kwa jozi 12 za ng’ombe dume, naye alikuwa na jozi ya 12. Basi Eliya akamkaribia, akalitupa vazi lake rasmi+ juu yake.