Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waamuzi 10:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Nendeni mkaililie miungu mliyochagua iwasaidie.+ Na iwaokoe kutoka katika taabu yenu.”+

  • 1 Wafalme 18:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Na sasa nikusanyie Waisraeli wote kwenye Mlima Karmeli,+ pamoja na manabii 450 wa Baali na manabii 400 wa mti mtakatifu,*+ wanaokula kwenye meza ya Yezebeli.”

  • 1 Wafalme 22:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Kwa hiyo mfalme wa Israeli akawakusanya pamoja manabii, wanaume wapatao 400, akawauliza: “Je, niende kupigana vita dhidi ya Ramothi-gileadi, au nisiende?” Wakasema: “Panda uende, na Yehova atalitia jiji hilo mikononi mwako.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki