-
Isaya 36:21, 22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Lakini walikaa kimya, hawakumjibu neno lolote, kwa maana mfalme aliwaagiza hivi: “Msimjibu.”+ 22 Lakini Eliakimu mwana wa Hilkia, aliyekuwa msimamizi wa nyumba,* Shebna+ aliyekuwa mwandishi, na Yoa mwana wa Asafu aliyekuwa akifanya kazi ya kuweka kumbukumbu wakaja kwa Hezekia mavazi yao yakiwa yameraruliwa, wakamwambia maneno ya Rabshake.
-