-
2 Wafalme 18:36, 37Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
36 Lakini watu walikaa kimya, hawakumjibu neno lolote, kwa maana mfalme alikuwa amewaagiza hivi: “Msimjibu.”+ 37 Lakini Eliakimu mwana wa Hilkia, aliyekuwa msimamizi wa nyumba,* Shebna aliyekuwa mwandishi, na Yoa mwana wa Asafu aliyekuwa akifanya kazi ya kuweka kumbukumbu wakaja kwa Hezekia mavazi yao yakiwa yameraruliwa, wakamwambia maneno ya Rabshake.
-