-
Isaya 37:21, 22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Kisha Isaya mwana wa Amozi akatuma ujumbe huu kwa Hezekia: “Yehova Mungu wa Israeli anasema, ‘Kwa sababu ulisali kwangu kuhusu Mfalme Senakeribu wa Ashuru,+ 22 Hili ndilo neno ambalo Yehova amesema dhidi yake:
“Binti bikira wa Sayuni anakudharau, anakudhihaki.
Binti ya Yerusalemu anakutikisia kichwa.
-