Isaya 37:22 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 22 Yehova amesema neno hili juu yake:“Bikira, binti Sayuni, amekudharau, amekudhihaki.+Binti Yerusalemu ametikisa kichwa chake nyuma yako.+ Isaya Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 37:22 ip-1 391-392 Isaya Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 37:22 Unabii wa Isaya 1, kur. 391-392
22 Yehova amesema neno hili juu yake:“Bikira, binti Sayuni, amekudharau, amekudhihaki.+Binti Yerusalemu ametikisa kichwa chake nyuma yako.+