-
Isaya 37:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Hili ndilo neno ambalo Yehova amesema dhidi yake:
“Binti bikira wa Sayuni anakudharau, anakudhihaki.
Binti ya Yerusalemu anakutikisia kichwa.
-