Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 8:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Akawashinda Wamoabu+ na kuwaamuru walale chini ardhini, naye akawapima kwa kamba. Alipima safu mbili za watu ambao wangeuawa, na safu moja nzima ya watu ambao hawangeuawa.+ Wamoabu wakawa watumishi wa Daudi na kumletea ushuru.+

  • 2 Wafalme 3:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Mesha mfalme wa Moabu alikuwa mfugaji wa kondoo, naye alikuwa akilipa wanakondoo 100,000 na kondoo dume 100,000 ambao hawajakatwa manyoya kama ushuru kwa mfalme wa Israeli.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki