Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Mambo ya Nyakati 2:13, 14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Sasa namtuma fundi stadi, aliyebarikiwa kuwa na uelewaji, Hiram-abi,+ 14 mwana wa mwanamke wa kabila la Dani, lakini baba yake alikuwa Mtiro; ana uzoefu wa kutengeneza vitu kwa kutumia dhahabu, fedha, shaba, chuma, mawe, mbao, sufu ya zambarau, nyuzi za bluu, kitambaa bora, na nyuzi nyekundu.+ Anaweza kuchonga michongo ya kila aina na kubuni na kutengeneza kitu chochote anachoambiwa.+ Atafanya kazi pamoja na mafundi wako stadi na mafundi stadi wa bwana wangu Daudi baba yako.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki