Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 21:19-24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Amoni+ alikuwa na umri wa miaka 22 alipoanza kutawala, naye alitawala kwa miaka miwili huko Yerusalemu.+ Mama yake aliitwa Meshulemethi binti ya Haruzi kutoka Yotba. 20 Aliendelea kutenda maovu machoni pa Yehova, kama alivyofanya Manase baba yake.+ 21 Aliendelea kutembea katika njia zote ambazo baba yake alitembea, akaendelea kuziabudu na kuziinamia sanamu zenye kuchukiza ambazo baba yake aliabudu.+ 22 Kwa hiyo akamwacha Yehova Mungu wa mababu zake, naye hakutembea katika njia ya Yehova.+ 23 Hatimaye watumishi wa Amoni wakapanga njama dhidi yake na kumuua mfalme Amoni ndani ya nyumba yake mwenyewe. 24 Lakini watu wa nchi hiyo wakawaua wale wote waliopanga njama dhidi ya Mfalme Amoni, nao wakamweka Yosia mwanawe kuwa mfalme baada yake.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki