2 Wafalme 23:29 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 29 Katika siku zake Farao Neko mfalme wa Misri alikuja kukutana na mfalme wa Ashuru karibu na Mto Efrati, kisha Mfalme Yosia akaenda kukabiliana naye; lakini Neko alipomwona, alimuua huko Megido.+
29 Katika siku zake Farao Neko mfalme wa Misri alikuja kukutana na mfalme wa Ashuru karibu na Mto Efrati, kisha Mfalme Yosia akaenda kukabiliana naye; lakini Neko alipomwona, alimuua huko Megido.+