30 Basi watumishi wake wakasafirisha maiti yake katika gari la vita kutoka Megido, wakamleta Yerusalemu na kumzika katika kaburi lake. Kisha watu nchini wakamchukua Yehoahazi mwana wa Yosia wakamtia mafuta na kumweka kuwa mfalme baada ya baba yake.+
28 Ndiyo sababu nitakuzika pamoja na mababu zako,* nawe utalazwa kwa amani katika kaburi lako, na macho yako hayataona msiba wote nitakaoleta mahali hapa na kwa wakaaji wake.’”’”+