Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 12:21-24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Rehoboamu alipofika Yerusalemu, mara moja aliikusanya nyumba yote ya Yuda na kabila la Benjamini, mashujaa 180,000 waliozoezwa,* ili wapigane na nyumba ya Israeli na kuurudisha ufalme kwa Rehoboamu mwana wa Sulemani.+ 22 Kisha neno hili la Mungu wa kweli likamjia Shemaya+ mtu wa Mungu wa kweli: 23 “Mwambie Rehoboamu mwana wa Sulemani mfalme wa Yuda na nyumba yote ya Yuda na Benjamini na watu wengine, 24 ‘Hivi ndivyo Yehova anavyosema: “Msipande kwenda kupigana na ndugu zenu Waisraeli. Kila mmoja wenu anapaswa kurudi nyumbani kwake, kwa maana nimesababisha mambo haya yatukie.”’”+ Basi wakalitii neno la Yehova na kurudi nyumbani, kama Yehova alivyowaambia.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki