20 Kisha akamwoa Maaka mjukuu wa Absalomu.+ Baada ya muda akamzalia Abiya,+ Atai, Ziza, na Shelomithi. 21 Rehoboamu alimpenda zaidi Maaka mjukuu wa Absalomu kuliko wake zake wengine wote na masuria+ wake, kwa maana alikuwa na wake 18 na masuria 60, naye akawazaa wana 28 na mabinti 60.