Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 12:35
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 35 Waisraeli walifanya kama Musa alivyokuwa amewaambia, wakawaomba Wamisri vito vya fedha na vya dhahabu na pia mavazi.+

  • 2 Wafalme 7:15, 16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Wakawafuata mpaka Yordani, na mavazi na vyombo ambavyo Wasiria walikuwa wametupa walipokuwa wakikimbia kwa hofu vilikuwa vimetapakaa njia yote. Kisha wajumbe hao wakarudi na kumletea mfalme habari.

      16 Ndipo watu wakatoka na kuipora kambi ya Wasiria, hivi kwamba sea moja ya unga laini ikawa na thamani ya shekeli moja, na sea mbili ya shayiri ikawa na thamani ya shekeli moja, kulingana na neno la Yehova.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki