-
2 Wafalme 9:20, 21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Basi yule mlinzi akasema: “Aliwafikia, lakini hajarudi, na uendeshaji wa gari ni kama wa Yehu mjukuu* wa Nimshi, kwa maana yeye huendesha gari kama mwendawazimu.” 21 Yehoramu akasema: “Fungeni farasi kwenye gari!” Basi farasi wakafungwa kwenye gari lake la vita, na Yehoramu mfalme wa Israeli na Ahazia+ mfalme wa Yuda wakaondoka kila mmoja kwenye gari lake la vita ili kukutana na Yehu. Wakakutana naye katika shamba la Nabothi,+ Myezreeli.
-