-
Yoshua 15:11, 12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Kisha ukaendelea hadi kwenye mteremko wa kaskazini wa Ekroni,+ hadi Shikeroni, kufika kwenye Mlima Baala na kuendelea hadi Yabneeli, nao ulifikia mwisho kwenye bahari.
12 Mpaka wa magharibi ulikuwa Bahari Kuu*+ na pwani yake. Hiyo ndiyo iliyokuwa mipaka yote ya wazao wa Yuda kulingana na koo zao.
-