Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 16:10-13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Ndipo Mfalme Ahazi akaenda kukutana na Mfalme Tiglath-pileseri wa Ashuru kule Damasko. Alipoona madhabahu iliyokuwa Damasko, Mfalme Ahazi akamtumia kuhani Uriya ramani ya madhabahu hiyo, akamwonyesha mfano wake na jinsi ilivyojengwa.+ 11 Kuhani Uriya+ akajenga madhabahu+ kulingana na maagizo yote ambayo Mfalme Ahazi alikuwa ametuma kutoka Damasko. Kuhani Uriya akamaliza kuijenga kabla ya Mfalme Ahazi kurudi kutoka Damasko. 12 Mfalme aliporudi kutoka Damasko na kuiona madhabahu hiyo, aliikaribia na kutoa dhabihu juu yake.+ 13 Akaendelea kufukizia moshi wa dhabihu zake za kuteketezwa na matoleo yake ya nafaka juu ya madhabahu hiyo; pia aliimiminia madhabahu hiyo matoleo yake ya kinywaji na kuinyunyizia damu ya dhabihu zake za ushirika.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki