Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ezra 10:16, 17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Lakini watu waliotoka uhamishoni wakafanya kama ilivyokubaliwa; na kuhani Ezra na viongozi wa koo,* watu wote ambao majina yao yalikuwa yameorodheshwa, wakakusanyika peke yao siku ya kwanza ya mwezi wa kumi ili kuchunguza jambo hilo; 17 na kufikia siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza wakamaliza kuwachunguza wanaume wote waliokuwa wameoa wanawake wa kigeni.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki