4 Eneo lenu litaanzia nyikani mpaka kwenye Mlima Lebanoni hadi ule mto mkubwa, Efrati, yaani, nchi yote ya Wahiti,+ mpaka kwenye Bahari Kuu,* upande wa magharibi.*+
3 Wakati huo Tatenai gavana wa eneo lililo Ng’ambo ya Mto* na Shethar-bozenai na wenzao wakaja na kuwauliza: “Ni nani aliyewaagiza mjenge nyumba hii na kukamilisha nguzo hizi?”*