Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Nehemia 10:28, 29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Watu wengine wote—makuhani, Walawi, walinzi wa malango, waimbaji, watumishi wa hekaluni,* kila mtu aliyejitenga na mataifa yaliyokuwa nchini ili afuate Sheria ya Mungu wa kweli,+ pamoja na wake zao, wana wao, na mabinti wao, kila mtu mwenye ujuzi na uelewaji*— 29 wakajiunga na ndugu zao, wakuu wao, wakajifunga kwa kiapo na laana, kwamba watatembea katika Sheria ya Mungu wa kweli, iliyotolewa kupitia Musa mtumishi wa Mungu wa kweli, na kufuata kwa makini amri zote za Yehova Bwana wetu, hukumu zake, na masharti yake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki