Ezra 1:8 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 8 Mfalme Koreshi wa Uajemi akavikabidhi kwa Mithredathi mweka-hazina ambaye alivihesabu na kumpa Sheshbazari*+ mkuu wa Yuda. Ezra 1:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 Vyombo vyote vya dhahabu na vya fedha vilikuwa 5,400. Sheshbazari alivibeba vyote wakati yeye na watu waliohamishwa+ walipoondoka Babiloni kwenda Yerusalemu.
8 Mfalme Koreshi wa Uajemi akavikabidhi kwa Mithredathi mweka-hazina ambaye alivihesabu na kumpa Sheshbazari*+ mkuu wa Yuda.
11 Vyombo vyote vya dhahabu na vya fedha vilikuwa 5,400. Sheshbazari alivibeba vyote wakati yeye na watu waliohamishwa+ walipoondoka Babiloni kwenda Yerusalemu.