Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 2:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Kisha Daudi akafa na kuzikwa pamoja na mababu zake katika Jiji la Daudi.+

  • 2 Mambo ya Nyakati 16:13, 14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Kisha Asa akafa na kuzikwa pamoja na mababu zake;+ alikufa katika mwaka wa 41 wa utawala wake. 14 Kwa hiyo walimzika katika kaburi lake la kifahari alilokuwa amejichimbia katika Jiji la Daudi;+ walimlaza kwenye machela ya kubebea maiti iliyojazwa mafuta ya zeri na mafuta* yaliyotengenezwa kwa njia ya pekee kwa mchanganyiko wa vikolezo mbalimbali.+ Isitoshe, waliwasha moto mkubwa isivyo kawaida kwa ajili yake.*

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki