Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 41:41, 42
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 41 Kisha Farao akamwambia Yosefu: “Tazama, ninakuweka kuwa msimamizi wa nchi yote ya Misri.”+ 42 Halafu Farao akaivua pete yake ya muhuri kutoka kwenye mkono wake mwenyewe na kumvisha Yosefu mkononi, akamvisha pia mavazi ya kitani bora na mkufu wa dhahabu shingoni mwake.

  • Esta 3:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Ndipo mfalme akavua pete yake ya muhuri+ kutoka mkononi mwake, akampa Hamani+ mwana wa Hamedatha Mwagagi,+ aliyekuwa adui wa Wayahudi.

  • Danieli 6:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Kisha jiwe likaletwa na kuwekwa kwenye mwingilio* wa shimo hilo, naye mfalme akalitia muhuri kwa pete yake ya muhuri na kwa pete ya muhuri ya wakuu wake ili uamuzi kumhusu Danieli usibadilishwe hata kidogo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki