Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Esta 3:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Kisha Hamani akamwambia Mfalme Ahasuero: “Kuna watu fulani waliotawanyika na kusambaa kati ya watu+ katika mikoa yote ya* milki yako,+ ambao sheria zao ni tofauti na za watu wengine wote, nao hawatii sheria za mfalme, na wakiachwa watamletea mfalme hasara.

  • Esta 3:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Ndipo mfalme akavua pete yake ya muhuri+ kutoka mkononi mwake, akampa Hamani+ mwana wa Hamedatha Mwagagi,+ aliyekuwa adui wa Wayahudi.

  • Esta 7:4-6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Kwa maana tumeuzwa,+ mimi na watu wangu, tuangamizwe, tuuawe, na kufutiliwa mbali.+ Kama tungeuzwa tuwe watumwa wa kiume na wa kike, ningekaa kimya. Lakini msiba huu haufai, kwa sababu utamletea mfalme hasara.”

      5 Ndipo mfalme Ahasuero akamuuliza Malkia Esta: “Ni nani huyo, na yuko wapi mwanamume aliyethubutu kufanya jambo hilo?” 6 Esta akasema: “Mpinzani na adui ni huyu Hamani mwovu.”

      Hamani akaogopa sana kwa sababu ya mfalme na malkia.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki