Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Esta 8:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Katika barua hizo mfalme aliwaruhusu Wayahudi katika majiji yote wakusanyike ili walinde uhai wao* na kuangamiza, kuua, na kuharibu jeshi lolote la taifa lolote au mkoa* ambao huenda ungewashambulia wao, kutia ndani wanawake na watoto wao, na kuchukua mali zao.+

  • Esta 9:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Wayahudi wengine wote waliokuwa katika mikoa ya* mfalme, wakakusanyika pamoja pia ili kulinda uhai wao.*+ Wakawaangamiza maadui wao,+ wakawaua watu 75,000 kati ya wale waliowachukia; lakini hawakuwapora chochote.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki