Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Esta 9:21, 22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Akawaagiza waadhimishe siku ya 14 ya mwezi wa Adari, na pia siku ya 15, kila mwaka, 22 kwa sababu katika siku hizo Wayahudi walipumzika kutokana na usumbufu wa maadui wao, na mwezi huo huzuni yao ikageuzwa kuwa shangwe, na maombolezo yao+ kuwa siku ya kusherehekea. Walipaswa kuadhimisha siku hizo zikiwa siku za karamu na kushangilia, za kupeana mafungu ya vyakula, na za kuwapa maskini zawadi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki