Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Esta 3:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Kisha Hamani akamwambia Mfalme Ahasuero: “Kuna watu fulani waliotawanyika na kusambaa kati ya watu+ katika mikoa yote ya* milki yako,+ ambao sheria zao ni tofauti na za watu wengine wote, nao hawatii sheria za mfalme, na wakiachwa watamletea mfalme hasara.

  • Esta 3:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Wajumbe wakapeleka kwenye mikoa yote ya* mfalme barua zilizokuwa na agizo la kuangamiza, kuua, na kuwafutilia mbali Wayahudi wote, vijana kwa wazee, wanawake kwa watoto, katika siku moja, siku ya 13 ya mwezi wa 12, yaani, mwezi wa Adari,+ na kuchukua mali zao.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki