Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 2:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  6 Yehova huua, naye huhifadhi uhai;*

      Hushusha Kaburini,* naye hufufua.+

  • Isaya 57:1, 2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 57 Mwadilifu ameangamia,

      Lakini hakuna yeyote anayetia jambo hilo moyoni.

      Watu washikamanifu wanaondolewa,*+

      Na hakuna mtu anayetambua kwamba mwadilifu ameondolewa

      Kwa sababu ya* msiba.

       2 Yeye huingia katika amani.

      Wanapumzika vitandani mwao,* wote wanaotembea kwa unyoofu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki