Ayubu 3:23 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 23 Kwa nini anampa nuru mwanamume aliyepotea njia,Ambaye Mungu amemzingira kwa ukuta?+ Zaburi 88:8 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 8 Umewafukuza rafiki zangu mbali sana nami;+Umenifanya niwe kitu kinachowachukiza. Nimenaswa na siwezi kutoroka.
8 Umewafukuza rafiki zangu mbali sana nami;+Umenifanya niwe kitu kinachowachukiza. Nimenaswa na siwezi kutoroka.