Ayubu 17:6 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 6 Amenifanya niwe kitu cha kudharauliwa* miongoni mwa mataifa,+Hivi kwamba nikawa mtu wanayemtemea mate usoni.+ Zaburi 88:8 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 8 Umewafukuza rafiki zangu mbali sana nami;+Umenifanya niwe kitu kinachowachukiza. Nimenaswa na siwezi kutoroka.
6 Amenifanya niwe kitu cha kudharauliwa* miongoni mwa mataifa,+Hivi kwamba nikawa mtu wanayemtemea mate usoni.+
8 Umewafukuza rafiki zangu mbali sana nami;+Umenifanya niwe kitu kinachowachukiza. Nimenaswa na siwezi kutoroka.